News

Mnamo mwezi Machi mwaka huu, jopo la wataalam na maafisa wa eneo hilo walitangaza mpango mpya wa uhamaji kwa maandalizi dhidi ya milipuko ya volkano. Mfululizo huu unaelezea mabadiliko yaliyofanywa ...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ametangaza siku ya Alhamisi, Julai 10, makubaliano ya majaribio ya kubadilishana ...
Kwa zaidi ya miaka mitatu tangu Urusi kuvamia jirani yake, timu ya Trump itabaini silaha kutoka kwa hifadhi ya Marekani ili kupeleka Ukraine chini ya Mamlaka ya Rais, vyanzo vilisema.
Joto kali linaendelea kuyakumba maeneo mengi ya Japani, huku siku nyingine ya joto kali ikitarajiwa mashariki na magharibi ...
NCHINI Uingereza madaktari wamebuni njia mpya ya kusafisha utumbo kukabiliana na wadudu sugu wanaojulikana kama ‘superbugs,’ ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amezishauri nchi za Afrika zinapowekeza kwenye miradi ya miundombinu kupitia mifuko ya ...
Wakati Serikali ya Kenya chini ya Rais William Ruto ikipitia misukosuko kutoka kwa wananchi wake, viongozi wa vyama vya ...
Mtoto wao Joe Bennett aliiambia BBC Breakfast: "Nataka kuwa wazi, wazazi wangu si wapelelezi, hawahusiki na siasa, si ...
DEREVA wa lori ambaye inadai aliona gari aina ya Lamborghini la Diogo Jota na Andre Silva likiwaka moto ameihakikishia ...
KILIMO cha mwani kimekuwa kama pumzi mpya ya uchumi katika ukanda wa pwani, hasa Zanzibar na mikoa ya Lindi, Tanga na Pwani.