News

Umoja wa Mataifa unaripoti kwamba idadi kubwa ya watu 800 waliouawa katika Ukanda wa Gaza tangu Mei 27 waliuawa karibu na ...
Klabu ya Simba ipo kwenye mtego mbaya kuhusu mikataba ambayo ilitoa kwa wachezaji wake na kuna hatari ikatumia kitita kikubwa cha fedha kwenye dirisha hili la usajili au ukawapoteza mastaa ...
Gugu alikuwa akipokea dawa zake za kupunguza makali ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa kliniki moja inayofadhiliwa na ...
Mnamo mwezi Machi mwaka huu, jopo la wataalam na maafisa wa eneo hilo walitangaza mpango mpya wa uhamaji kwa maandalizi dhidi ya milipuko ya volkano. Mfululizo huu unaelezea mabadiliko yaliyofanywa ...
Madereva na watumiaji nchini Iran, haswa Tehran, wamekuwa na shida kutafuta njia katika siku za hivi karibuni.
NI bomu jipya kwa maisha ya watu. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kutokana na hatari inayoinyemelea jamii kutokana na matumizi ya dawa kwa wanawake hasa wakati wa hedhi. Matumizi ya dawa za kukata ...
DEREVA wa lori ambaye inadai aliona gari aina ya Lamborghini la Diogo Jota na Andre Silva likiwaka moto ameihakikishia ...
Ingawa kulala pamoja na mtoto mdogo kitandani kunaweza kuwa na faida kama kuimarisha uhusiano wa karibu ‘bond’, kurahisisha huduma za usiku na amani kwa wazazi, tafiti zinaonyesha uamuzi ...
Kiumbe hatari au namba moja kwa mauaji ni mbu huua watu takribani 725,000 kwa mwaka. Ndiye mdudu hatari zaidi duniani huangamiza wazee kwa vijana kupitia magonjwa yanayoeneza kama vile malaria. Mbu ...
Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanayofanya kazi nchini Ukraine, yanaonya kwamba mtambo wa umeme wa nyuklia wa ...
BEKI wa kati wa Coastal Union na timu ya Taifa ya Zanzibar, Abdallah Denis ‘Vivaa’, ametamka wazi kuwa kiungo mshambuliaji wa ...
June 25 protests were held in memory of those killed during the 2024 anti-finance bill demonstrations, but what began as a peaceful march turned violent.