News

Mnamo mwezi Machi mwaka huu, jopo la wataalam na maafisa wa eneo hilo walitangaza mpango mpya wa uhamaji kwa maandalizi dhidi ya milipuko ya volkano. Mfululizo huu unaelezea mabadiliko yaliyofanywa ...
Kwa zaidi ya miaka mitatu tangu Urusi kuvamia jirani yake, timu ya Trump itabaini silaha kutoka kwa hifadhi ya Marekani ili kupeleka Ukraine chini ya Mamlaka ya Rais, vyanzo vilisema.
DEREVA wa lori ambaye inadai aliona gari aina ya Lamborghini la Diogo Jota na Andre Silva likiwaka moto ameihakikishia ...
Baada ya muda mrefu wa kukosekana dawa ya malaria iliyoidhinishwa kwa ajili ya watoto wenye uzito chini ya kilo tano, Kampuni ...
Ingawa kulala pamoja na mtoto mdogo kitandani kunaweza kuwa na faida kama kuimarisha uhusiano wa karibu ‘bond’, kurahisisha huduma za usiku na amani kwa wazazi, tafiti zinaonyesha uamuzi ...
Umoja wa Mataifa umeibua wasiwasi mkubwa kuhusu mauaji nchini Kenya  yaliyotokea baada ya polisi kukabiliana na waandamanaji ...
Kiumbe hatari au namba moja kwa mauaji ni mbu huua watu takribani 725,000 kwa mwaka. Ndiye mdudu hatari zaidi duniani huangamiza wazee kwa vijana kupitia magonjwa yanayoeneza kama vile malaria. Mbu ...
TAZAMA ulimwengu wanafunzi wanaobebwa kwenye bodaboda kwa mtindo wa mishikaki kuwahi shuleni. Huu ni utaratibu wa muda mrefu ambao sasa umechukuliwa kama wa kawaida, huku baadhi wakiishia kupata ...
Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanayofanya kazi nchini Ukraine, yanaonya kwamba mtambo wa umeme wa nyuklia wa ...
BEKI wa kati wa Coastal Union na timu ya Taifa ya Zanzibar, Abdallah Denis ‘Vivaa’, ametamka wazi kuwa kiungo mshambuliaji wa ...
June 25 protests were held in memory of those killed during the 2024 anti-finance bill demonstrations, but what began as a ...
Nine people were killed, about 400 injured and 61 arrested on Wednesday as at least 27 counties witnessed protests marking the first anniversary of the June 25, 2024, demonstrations that saw youth ...